Thursday, 28 January 2016


MWANAMITINDO, FLAVIANA MATATA AZINDUA RANGI YA KUCHA JIJINI DAR LEO.

Mwanamitindo wa Tanzania ambaye anafanya kazi za mitindo nchini Marekani, Flaviana Matata amezindua bidhaa za  urembo za kucha zinazojulikana kwa jina la LAVY, amezindua bidhaa hiyo mbele ya waandishi wa habari na kuomba wanawake na watumiaji rangi za kucha  wamuunge mkono kwani ni bidhaa ambayo ipo kwenye soko kwa kipindi hiki kwani kila mwanamke anapenda kupendeza... habari zaidi 

No comments:

Post a Comment