Saturday, 30 January 2016
Magufuli amuongezea Muda Mwamunyange JWTZ
Rais John Magufuli amemwongeza muda wa mwaka mmoja Mkuu wa majeshi ya ulinzi nchini, Jenerali David Mwamunyange aliyetakiwa kustaafu kazi leo. Akizungumza na waandishi wa habari leo makao makuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) yaliyopo Upanga jijini Dar es salaam, Jenerali Mwamunyange amesema leo alitakiwa kuungana... habari zaidiThursday, 28 January 2016
Ukweli wa Diamond Platnumz kuhusu mwanae Tiffah, Ommy Dimpoz na kichurachura cha wanajeshi.. (+Video)
Kama hizi stori hujakutana nazo nimeona nizikusanye na kukuletea kwa pamoja
kwa habari zaidi
Ajib aula tuzo Simba
MSHAMBULIAJI wa Simba, Ibrahim Ajib ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Desemba wa klabu.. kwa habari zaidi
Ukawa watoka bungeni
Na Khamis Mkotya, Dodoma
WABUNGE wa kambi ya upinzani jana walitoka bungeni, huku ulinzi mkali
ukiwa umeimarishwa katika viunga vya Bunge, MTANZANIA linaripoti.. kwa habari zaidi
RATIBA YA SOKA UINGEREZA
Season: 2015-2016
| Tuesday 2 February 2016 | ||||||
|---|---|---|---|---|---|---|
|
19:45 | Arsenal v Southampton | Emirates Stadium |
|
![]() |
|
|
19:45 | Leicester v Liverpool | King Power Stadium |
|
![]() |
|
|
19:45 | Norwich v Spurs | Carrow Road |
|
|
|
|
19:45 | Sunderland v Man City | Stadium of Light |
|
|
|
|
19:45 | West Ham v Aston Villa | Boleyn Ground |
|
|
|
|
20:00 | Crystal Palace v Bournemouth | Selhurst Park |
|
|
|
|
20:00 | Man Utd v Stoke | Old Trafford |
|
![]() |
|
|
20:00 | West Brom v Swansea | The Hawthorns |
|
|
|
| Wednesday 3 February 2016 | ||||||
|---|---|---|---|---|---|---|
|
19:45 | Everton v Newcastle | Goodison Park |
|
![]() |
|
|
19:45 | Watford v Chelsea | Vicarage Road |
|
![]() |
|
Mashabiki wengi na wapenda soka walibashiri kuwa Washika Mtutu hao
wangewafunga mahasimu wao wa London na kujikita kileleni, lakini bao la
Diego Costa la dakika ya 23 liliwawezesha Blues ambao wamekuwa wakihaha
msimu huu wameifunga timu ya Arsene Wenger mara mbili.
Hapakuwa na msaada wowote pamoja na beki Per Mertesacker kuonyeshwa
kadi nyekundu baada ya kumwangusha Costa dakika tano kabla ya goli
kupatikana, Mjerumani huyo alipokuwa mtu wa mwisho na kumweka straika
huyo wa Chelsea chini. habari zaidi
AY asema remix ya Zigo akiwa na Diamond ni funzo kwa wasanii wengine
AY amesema aliamua kufanya remix ya Zigo na Diamond ili kuwapa funzo wasanii wenzake wa ndani..... habari zaidi
Wizara Ya Ujenzi, Uchukuzi Na Mawasiliano : Taarifa Kwa Umma Kuhusu Kufungwa Kwa Muda Barabara Ya Mpanda – Koga – Tabora
Tunapenda kutoa taarifa kwa Umma kuwa, Barabara ya Mpanda – Koga – Tabora imefungwa kwa muda kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha nchini zilizosababisha kufurika kwa mto Koga na..... habari zaidiMWANAMITINDO, FLAVIANA MATATA AZINDUA RANGI YA KUCHA JIJINI DAR LEO.
Mwanamitindo wa Tanzania ambaye anafanya kazi za mitindo nchini Marekani, Flaviana Matata amezindua bidhaa za urembo za kucha zinazojulikana kwa jina la LAVY, amezindua bidhaa hiyo mbele ya waandishi wa habari na kuomba wanawake na watumiaji rangi za kucha wamuunge mkono kwani ni bidhaa ambayo ipo kwenye soko kwa kipindi hiki kwani kila mwanamke anapenda kupendeza... habari zaidi
Thursday, January 28, 2016
MRADI MANJANO DREAM MAKERS WA KUKWAWEZESHA MANAWAKE WAJASIRIAMALI WAINGIA ZANZIBAR
Mradi wa Kuwawezesha wanawake Kupitia Tasinia ya Urembo ujulikanao kama Manjano Dream-Makers waingia Zanzibar. Wataalamu kutoka Taasisi ya Manjano Foundation wataendesha mafunzo kuanzia tarehe 1 February 2016 kwenye ukumbi wa Mtoni Marine Hotel Zanzibar. Wanawake 30 wa Zanzibar.... habari zaidi
Subscribe to:
Posts (Atom)











