Rais John Magufuli amemwongeza muda wa mwaka mmoja Mkuu wa majeshi
ya ulinzi nchini, Jenerali David Mwamunyange aliyetakiwa kustaafu kazi
leo. Akizungumza na waandishi wa habari leo makao makuu ya Jeshi la
Wananchi wa Tanzania (JWTZ) yaliyopo Upanga jijini Dar es salaam,
Jenerali Mwamunyange amesema leo alitakiwa kuungana...
habari zaidi
No comments:
Post a Comment